Bidhaa Halisi 100%

Hakuna bidhaa duni — tunauza brand halisi pekee zinazodumu.

Bei ya Haki

Bajeti yako inaheshimiwa hapa. Tunakupa bei zinazoendana na hali halisi ya Mtanzania.

Delivery Mlangoni

Tunafikisha kwenye maeneo tuliyoyaorodhesha, kwa bei tuliyoiweka wazi — utaiona kabla ya kulipa, si baada ya boda kufika.

Mtu Anayekujibu

Ukiuliza, unajibiwa na mtu — si mashine. Tuambie unachotafuta, tutakutafutia au tutakuambia ukweli kama hatuna.

Mkusanyiko Maalum

Gundua Vifaa Bora

Chagua kundi unalotaka kuchunguza kwa urahisi

Zinazopendwa

Zote →